 |
| TIRDO
now conducts several courses in different aspects
with the highly qualified instructors from different
departments of the organization. The courses taught
so far are as follows: |
|
Mafunzo ya uchomeaji wa vyuma vya aina zifuatazo;
vyuma vya kawaida (Ferrous materials), stainless
steel na aluminium pamoja na mafunzo ya
uchomeaji wa kitaalamu. |
|
|
Mafunzo
juu ya kilimo cha uyoga (Mushroom Farming)
kutoka kwa wataalamu waliobobea katika kilimo
hicho. |
|
|
|
|
| Shirika
la Utafiti na Maendeleo ya Viwanda Tanzania (TIRDO)
linaendesha mafunzo ya uchomeaji wa vyuma vya
aina zifuatazo; vyuma vya kawaida (Ferrous materials),
stainless steel na aluminium pamoja na mafunzo
ya uchomeaji wa kitaalamu. Kila kozi itakuwa na
mafunzo ya nadharia na vitendo katika kuwaendeleza
wachomeleaji wa kawaida. Pindi mafunzo yatakapoisha
wachomeaji watakuwa na uwezo wa kutengeneza bidhaa
bora pamoja na kuweza kukagua kiufundi. |
|
| Mafundi
wa TIRDO wakionesha jinsi ya kufanya uchomeleaji
stadi |
 |
Malengo
Ya Kozi: |
Programu
ya mafunzo ya kuongeza ufundi yatawaongoza wachomeaji
katika maeneo yafuatayo;
- Elimu
ya msingi ya ufundi.
- Njia
mbalimbali za uchomeaji.
|
Kuanzisha
na Kuendesha Mfumo Bora wa Uchomeleaji: |
-
Kugundua tatizo na kulitatua
-
Usalama kazini
-
Kupambanua aina za uchomeleaji
-
Kutathmini uchomeleaji
|
Sifa
za Wawezeshaji/Wakufunzi: |
| Wakufunzi
wote wamefuzu cheti cha ASME code selection
IX na wana uzoefu mkubwa katika uchomeleaji.
|
Matarajio: |
| Hii
kozi inatarajiwa kuwa itawasaidia washiriki kuzalisha
bidhaa na huduma bora kutokana na ujuzi bora watakaopata. |
Washiriki
Watanufaika na Yafuatayo: |
- Kuelewa
kanuni za uchomeleaji.
-
Kuanzisha na kuendesha mfumo bora wa uchomeleaji
-
Kudhibiti matatizo mbalimbali ya uchomeleaji.
|
Anayetakiwa
Kushiriki: |
-
Mafundi wachomeleaji.
-
Wachomeleaji wasio na uzoefu
-
Wasimamizi
- Wakaguzi
wa ubora
|
Tunuku: |
| Baada
ya kumaliza kozi, mhitimu atatunukiwa cheti. |
Gharama
ya Kozi: |
| Kila
mshiriki atatakiwa kulipa ada kutegemea na kozi.
|
 |
|
|
|
Tanzania
Industrial Research and Development Organization
(TIRDO) tunatoa mafunzo juu ya kilimo cha uyonga
(Mushroom Farming) kutoka kwa wataalamu waliobobea
katika kilimo hicho. |
|
Katika
kozi hii tunafundisha mambo yafuatayo kwa wale
ambao watahitaji kufahamu kuhusu Uyoga:-
-
Kilimo
cha uyoga kuanzia kutayarisha vimeng'enywa
hadi kupanda.
-
Utunzaji
wa shamba,uvunaji,ufungashaji na uhifadhi.
-
Mapishi
ya uyoga kwa nadharia na vitendo
|
|
Course
Duration:
|
| 1
week (08:00-1400hrs daily Monday-Friday) |
|
Course
Fee:
|
20,000
Tsh |
 |
Maulizo
yote yaelekezwe kwa:
Mkurugenzi
Mkuu, TIRDO Mtaa wa Kimweri, Msasani P.O.Box
23235 Dar es Salaam
Simu: 255 22 2666034/2668822 Fax: 255 22 2666034
E-Mail: info@tirdo.org
|